Skyrock.com
  • HOMEPAGE
  • BLOGS
  • PROFILS
  • CHAT
  • Apps
  • Music
  • Sources
  • Videos
  • Gifts
  • Log in
  • Create your Blog

Dr-mialano

Masquer See profile
Pictures of Dr-mialano
  • Follow
  • Send a messageMessage
  • See profile
  • More options ▼
  • Share
  • Give a gift
  • Block
  • Subscribe to my blog
  • Choose this background
  • 1 sources
  • 5 fans
  • 6 awards
  • 50 articles
  • 3 comments

Created: 26/09/2017 at 4:52 AM Updated: 13/08/2018 at 7:15 AM

Return to the blog of Dr-mialano

MAOJIANO NA MWESHIMIWA DR MIALANO TANGANIA MTETEZI WA MWANAINCH WA KAWAIDA

karibu wandugu wasikilizaji katika maojiano na mweshimiwa Dr.Mialano Tangania, David kusu hali ya kisiasa inch DRCongo na mimi mwenzenu mtangazaji Riziki Olena wa Journal congo kwenye njiya ya maojiano mweshimiwa Dr.Mialano Tangania aliongeya ya fuatayo:
Q1) mweshimiwa Dr Mialano Tangania tunahanza na mwelekeo wako kati serekali ya DRCongo kukufungiya kwenda kutuma ombi lako la kugombea uchaguzi wa tariki 23/12/2018 wa Urais inchini DRCongo mpango mwengine huko namgani kwasasa?
DR) nashukuru ndugu mtangazaji kwa swli nzuri ulilo liswalilakini swali hilo nitalijibu na kutowa mfano ambao uko wazi,( mkulima anapo chukuwa jembe kwenda kulima shamba lake huwa ana fanya bidi saana ili alime wakati wa majira ujambokuja apate kupanda mbegu ndani ya ardhi alilima na mwisho wa mlimo huwa anatarajiya matokeo ya mlimo aliyo lima wakati wote ule na jasho alipigwa nalo pamoja na juwa na kujigonga jembe kwenye mguu, kuhumiya kwakila namna iliafikiye malengo yake ya kupata mavuno ya kazi alifanya), mfano huo maana yake ni kusema siasa ninahanza na sitarudi nyuma na hii mikwala yote ambayo walinifanyiya nikusema wananipa tene nguvu ya kuendelea na malengo yangu ya kisiasa, ninajuwa siasa nikama shamaba ambayo utapigwa utasumbuliwa bali mwisho ukisimama utashinda kwa hiyo mimi sitarudi nyuma ijapokuwa mikwala yao hii, kwanza mikwala hii njo inanipa nguvu ya kusonga mbele maono yangu mpaka ifikapo mwisho.
Q) sasa mweshimiwa kitu gani cha muhimu kilicho kusukuma ndani ya siasa mpaka unasisitiza utaendelea mpaka mwisho, ni nini kilicho kupa mutisha wa kuingiya ndani ya siasa?
DR) aksante sana mtangazaji kwa swali hilo nataka kuwambiya wana inch ya kwamba kitu kilicho nisukuma ndani ya siasa na sita rudi nyuma mpaka malengo yangu yatimiye, ni kusema MAISHA YA MWANAINCH WA KAWAIDA amabyo yana nyanyaswa tangu zamani, katika historiya ya ulimwengu kwasasa DRCongo ni inch ambayo inajulikana mwa mali nyingi ambao mali hizo mwana inch hajaona faida yake mpakasasa tunavyo sama hapa, mwainch wa kongo hajawai kuwa na uhuru wakujigamba kama inch yake iko na uhuru,kwanziya wakati lumumba alivyo uhuru wa inch ya congo mpka sasa inch ya DRCongo haina amani, uhuru, Maendeleo, nakazilika, ni inch ambayo mwanainch wa kawaida anaishi maisha ya kubangaiza yaani maisha ya teau ya 1 dollarkwa siku, na wengine wanaishi kwa teau 0.5 dollar kwa siku sasa hayo ni maisha gani ambayo mwanaich anaishi, ma askari wa kongo kukosa mshahara mpaka wana fika kuunguza mkaa ili wapate kuishi kwakuwa hawapati mshahara, njo maana ujamabzi unakuwa mwingi kwakuwa maskari hawapi mshahara watatumiya vifaa walivyo navyo kuibiya raiya kwakuwa hawana mshara,
vija wanasoma lakini hawana makazi wanajihunga na vikundi vya ujamabazi kwakuwa hawana makazi kwa hiyo lengo langu kuu kuingiya ndani ya siasa ni kuteteta mwana inch wa kawaida apate kuishi maisha mazuri, ambayo wengine katika inch zingine wanaishi,.
na kitu kingine nakuja kugombanisha ili haki itendeke kwa mwanainch wa kawaida ni kusema mwanainch anapiga kura yake kuchuguwa mtu ahende kumtetea mbele au anachaguwa rais ili apate kumletea maendeleo lakini mtu ambaye anampa kazi hiyo anakujakuwa adui wa kwanza wa Raiya, kuwahuwa wanainch na kuwahangamiza, pili kitu kungine napiga mkwala ya marufuku ni kusema wanasiasa ambao wanapewa kura na wanainch ili wafanye kazi lakini watu hao wanapo chaguliwa wana hanza kuiba mali ya inch kwanda kujenga katika inch za kigeni, kama USA, europe, na inch zingine na istoshe wanahamisha familiya zao huko, hicho ni kitu kingine kinasukuma kuingiya ndani ya siasa kupinga vitu hivyo uibe mali ya inch kwenda kujenga kwa inch nyingine, na unalipa taxe kwa inch hiyo lakini kwenu unahacha njaa, kwa hiyo ni mapango wangu.
mwisho ni kusema kwa jumla malengo yangu katika siasa ni kujali maisha ya mwanainch wa kawada ambaye aliteswa myaka yote hii ili apate kutoka katika shida hiyokwa jumla tena kuleta maendeleo ya mwanainch wa kawaida na ya inch kujenga.
Q) sawa mweshimiwa una malengo mazuri na niya kuvutiya sasa kwakufikiya malengo hayo, uta yafikiya ki vipi ijapo mikwala ipo mbele yako kisiasa na tena mwanainch wakawaida atayafikiya vipi?
RD) swali nzuri kuusu kwanza juu ya mikwala nilikupa mfano wa mkulima jinsi anavyo lima shamab na mpaka afike mwisho wa kupata mavuno yake, kwa mimi mikwala siyo kitu hiyo ni kawaida ya siasa ninajuwa hayo bali kitu nasema kuusu malengo yangu kufikiya mwanainch wa kawaida ni kusema, mwanainch mwenyewe njo iko na mamlaka kwenye mkono wake, akitaka kuendelea ataendelea lakini malengo yangu hayo yataendelea ijapokuwa mwanainch akiniunga mkono ili tutembee pamoja kwa nioya moja tutafika kwa matunda hayo. nikusema umoja wetu kama wazalendo njo utatuma sisi tupate kuendelea mbele na mpango huo,
Q)aksante mweshimiwa Dr Mialano Tangania kwa maelezo yako kwa ajili ya maendeleo ya inch na maendeleo ya mwanainch wa kawaida, swali la mwisho kwako ni kusema mweshimiwa katika serekali ambayo inakuja mbele kwakuwa tunajuwa sote december 23/2018 kuna uchaguzi DRCongo na ulizuhiliwa kwenda kutuma Baruwa yako ya maombi ya kugombea Urais, sasa uchaguzi ukifanyika matarajiyo katika serekali ijayo, je utakubali kutumika nao au una malengo gani?
DR)nashukuru sana kwa swali hilo, mimi niko tayari kutumika na serekali yenye itajuwa masilayi ya mwanainchi wa kawaida na maendeleo ya mwanainch wa kawaida, kama serekali aina malengo hayo ya kujali mwanainch wa kawaida hiyo serekali siwezi kufanya kazi nao kwqakuwa watakuwa watapeli kama serekali iliyoko sasa madarakani, siwezi fanya kazi na serikali inayo nyanyasa mwanainch wa kawaida, malengo yangu kwa sasa ni kwa mwanainch wa kawaida na maendeleo yako njoo kiku naona kwa macho yangu sasa, bila hicho siwezi kufanya kazi hiyo, kwa kifupi serikali kama aina malengo ya kujali mwanainch wa kawaida kwanza ni adui wangu direct pili nitampinga mpaka mwisho wa muhula wake, kwahiyo serekali inayokuja kama itakuwa serekali ya kujali maisha ya mwanainch wa kawaida nitafanya nao kazi lakini kama si ya kujali mwanaich wakaida sinamda wakufanaya nao kazi.
Q) Tunashukuru mweshimiwa Dr Mialano Tangania sasa neno la mwisho kwa raiya wanao kukusikiya ?
Dr) kile ninacho heleza wanainch ambao wamehachwa myaka nyingi huu ni wakati wetu kujihunga pamoja ili tutetee haki yetu na niko tayari kutetea wanainch wa kawaida kwaiyo nawaomba wanainch wote kunihunga mkono ili tufiye mwisho wa vita hivi vya kutetea haki yao, aksante.
N.B: HUYO ALIKUWA Dr MIALANO TANGANIA DAVID ANAIHITWA MTETEZI WA MWANAINCH WA KAWAIDA KATIKA INCH YA DRCONGO NA MUNGU AMUBARIKI KATIKA MALENGO YAKE.
alikuwa wenu mtangazaji Riziki Olena aksante sana.MAOJIANO NA MWESHIMIWA DR MIALANO TANGANIA MTETEZI WA MWANAINCH WA KAWAIDA
​ 0 | 0 |
​
0
Comment

#Posted on Thursday, 09 August 2018 at 5:13 AM

  • Friends 0
  • Tweet
  • Comments
  • Hearts
  • Remix

More informationDon't forget that insults, racism, etc. are forbidden by Skyrock's 'General Terms of Use' and that you can be identified by your IP address (3.236.175.108) if someone makes a complaint.

Log in

Preceding post

Next post

My archives (50)

  • VISION DE DR MIALANO TANGANIA Mon, August 06, 2018
  • PROJET DE SOCIETE Mon, August 06, 2018
  • LA VISION DE Dr MIALANO TANGANIA POUR UNE RÉPUBLIQUE DÉMOCRATIQUE DU CONGO FORTE ET PROSPÈRE Mon, August 06, 2018
  • réflexions sur la situation actuelle en République démocratique du Congo Tue, June 19, 2018
  • La RDCongo en grandes lignes PAR DR.MIALANO TANGANIA Thu, June 14, 2018
  • RÉPUBLIQUE DÉMOCRATIQUE DU CONGO : 6 MILLIONS DE MORTS, LE GÉNOCIDE ZAPPÉ PAR LES MÉDIAS Fri, June 08, 2018
  • Previous
  • Next

Design by the-skyrock-team - Choose this background

Report abuse

Subscribe to my blog!

RSS

Skyrock.com
Discover
  • Skyrock

    • Advertisement
    • Jobs
    • Contact
    • Sources
    • Post to my blog
    • Developers
    • Report abuse
  • Info

    • Here you are free
    • Security
    • Conditions
    • Privacy policy
    • Manage ads
    • Help
    • In figures
  • Apps

    • Skyrock.com
    • Skyrock FM
    • Smax
  • Other sites

    • Skyrock.fm
    • Tasanté
    • Zipalo
  • Blogs

    • The Skyrock Team
    • Music
    • Ciné
    • Sport
  • Versions

    • International (english)
    • France
    • Site mobile